Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhandisi Cyprian Luhemeja,akiambatana na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Wafanyakazi wa Umma (PSSSF) Ndg. Abdul-Razaq Badru pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali, wakiwa kwenye ziara ya kukagua mradi wa kiwanda ambapo walifurahishwa na maendeleo na shughuli za uzalishaji zinazoendelea kiwandani.
in News Updates
Meneja Masoko wa Kiwanda, ndg. Donald Nkomavantu (aliyevaa suti ya kijivu), akiwa na wageni mbalimbali kutoka Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Tanzania, walipotembelea kiwanda kuangalia shughuli za uzalishaji wa bidhaa pamoja na uwekezaji unaoendelea kufanywa na Serikali katika kiwanda cha KLICL.
in News Updates
Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation Hon. Ambassador Liberata Mulamula accompanied by the Ambassador of Tanzania in Italy Hon. Mahmoud Thabit Kombo and Ambassador of Italy in Tanzania, Hon Marco Lombardi together with other participants of Italy-Tanzania Business and Investment Forum (2022) held in Dar es Salaam and Zanzibar (28-30 Sept), admiring various KLICL products displayed during these forums
in News Updates